ترجمة معاني سورة المسد باللغة السواحلية من كتاب Ali Muhsin Al - Swahili translation. ﰡ ﮈﮉﮊﮋﮌ ﰀ Al-MasadImeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. ﮎﮏﮐﮑﮒﮓ ﰁ Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. ﮕﮖﮗﮘ ﰂ Atauingia Moto wenye mwako. ﮚﮛﮜ ﰃ Na mkewe, mchukuzi wa kuni, ﮞﮟﮠﮡﮢ ﰄ Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa.